SMZ Logo
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

National Flag

Mapitio ya Sheria

Huduma ya Uchambuzi, Mapendekezo ya Marekebisho na Utafiti wa Kisheria


Muhtasari wa Huduma

Utafiti wa kisheria unahusisha kuchunguza sheria zilizopo, kuzilinganisha na mifumo ya kimataifa, na kutoa mapendekezo ya marekebisho ili sheria ziendane na mazingira ya sasa na kukuza utawala bora.

Majukumu Makuu

Kufanya utafiti wa kitaalamu juu ya sheria na sera.
Kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria.
Kuchambua athari za sheria katika jamii.
Kushirikiana na taasisi za kitaifa na kimataifa katika tafiti.
Kutoa ushauri wa kisheria kwa Serikali.

Shughuli na Matukio

โš™๏ธ Mpangilio

๐ŸŒ
Lugha
๐ŸŽจ
Muonekano
๐Ÿ”ค
Maneno