SMZ Logo
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

National Flag

Ushauri wa Mikataba

Huduma ya Mapitio, Usimamizi na Uhakiki wa Mikataba ya Serikali


Muhtasari wa Huduma

Huduma hii inalenga katika uchambuzi, mapitio na usimamizi wa mikataba yote inayohusisha Serikali. Lengo ni kuhakikisha mikataba inazingatia sheria, inalinda maslahi ya Umma, na kuhakikisha uwajibikaji wa pande zote zinazohusika.

Majukumu Makuu

Kuwajengea uwezo Mawakili wa Serikali, Maafisa wa Sheria na maafisa wengine wanaohusika katika makubaliano, uandishi na usimamizi wa mikataba.
Kutoa muongozo wa uandaaji na usimamizi wa mikataba ya Serikali.
Kutoa miongozo ya kawaida ya taratibu bora za kufuatwa na taarifa nyengine zinazohusu mikataba.
Kutayarisha ripoti za mwaka zinazohusu mikataba ya Serikali.
Kufanya kazi yoyote inayohusiana na mikataba Serikali.
Kutoa ushauri wa kisheria kwa Serikali.

Shughuli na Matukio

โš™๏ธ Mpangilio

๐ŸŒ
Lugha
๐ŸŽจ
Muonekano
๐Ÿ”ค
Maneno