Ndg. Shaaban Ramadhan Abdalla
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar β Wasifu na Historia ya Kitaaluma
Elimu
Shahada ya Uzamili (LLM in Maritime Law), Lund University, Sweden (2007β2009)
Shahada ya Sheria na Shariah β Zanzibar University (1999β2003)
Elimu ya Sekondari ya Juu (Aβlevel) β Lumumba High School, Zanzibar (1995β1997)
Elimu ya Sekondari (O-level) β Muslim College, Zanzibar (1991β1994)
Msingi β Mwembeladu Primary School, Zanzibar (1983β1990)
Historia ya Ajira
1 Naibu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (2021 β sasa)
2 Naibu Mkurugenzi Mtendaji β Wakala wa Usajili na Matukio ya Kijamii, Zanzibar (2018 - 2021)
3 Msajili - Afisi ya Msajili wa Vizazi na Vifo, Zanzibar (2012β2018)
4 Wakili wa Serikali - Mahkama za Mikoa, Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (2009β2011)
5 Wakili wa Serikali - Mahkama za Wilaya, Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (MayβJuly 2007)
6 Wakili wa Serikali na Mwendesha Mashtaka β Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (2003β2007)
7 Afisa Mipango Msaidizi β Tume ya Kazi, Zanzibar (1998β1999)
Imesasishwa mwisho: Novemba 2025