SMZ Logo
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

National Flag

Dkt. Mwinyi Talib Haji

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar β€” Wasifu na Historia ya Kitaaluma


Logo AGCZ

Elimu

Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Sheria β€” IIUM Malaysia (2010–2013)
Shahada ya Uzamili (MCL) katika Sheria β€” IIUM Malaysia (2005–2007)
Shahada ya Sheria na Shariah β€” Zanzibar University (2000–2004)
Stashahada ya Lugha β€” IKFL Zanzibar (1999–2000)
Elimu ya Sekondari ya Juu (A-Level) β€” Lumumba Sec. School (1999)
Astashahada ya Lugha β€” IKFL Zanzibar (1997–1998)
Elimu ya Sekondari (O-Level) β€” Kidongo Chekundu (1991–1996)
Elimu ya Msingi β€” Kidongo Chekundu (1983–1990)

Historia ya Ajira

1 Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (2020 β€” sasa)
2 Naibu Katibu Mkuu β€” Wizara ya Mambo ya Nje (Jul–Nov 2020)
3 Mkurugenzi β€” Chuo cha Utumishi wa Umma (2018–2020)
4 Mkurugenzi wa Masomo ya Uzamili β€” Chuo Kikuu cha Zanzibar (2013–2018)
5 Mhadhiri Mwandamizi β€” Chuo Kikuu cha Zanzibar (2012–2017)
6 Msaidizi wa Mhadhiri β€” Chuo Kikuu cha Zanzibar (2007–2012)
7 Mshauri wa Kisheria β€” Wizara ya Maji na Ardhi (2005–2007)
Imesasishwa mwisho: Septemba 2025

βš™οΈ Mpangilio

🌐
Lugha
🎨
Muonekano
πŸ”€
Maneno